Media Brains

ELAF yahimiza maridhiano na amani baada ya Uchaguzi Mkuu

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam TAASISI ya Everlasting Legal Aid Foundation (ELAF) imewataka Watanzania kuendeleza misingi ya amani, uvumilivu na maridhiano baada ya kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Akizungumza na waandishi wa habari leo Novemba 7, 2025 jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu...

Taifa Stars ya Gamondi amrejesha Kelvin John

Na Mwandishi Wetu Kaimu Kocha Mkuu wa timu ya Taifa, Taifa Stars Miguel Gamondi amemrudisha katika kikosi mshambuliaji Kelvin John, anayechezea Aalborg BK ya Denmark ambaye mara ya mwisho  kuitwa katika kikosi hicho ilikuwa Machi, 2025. Kelvin ni kati ya nyota wa Tanzania wanaofanya vizuri nje...
spot_img

Keep exploring

Kamati yatangaza uchaguzi mkuu TFF

Na Mwandishi wetu Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania imetangaza uchaguzi mkuu wa...

Watoto 295 washindana kuogelea,

Na Winfrida Mtoi Watoto  295 wenye umri chini ya miaka 12,wamejitokeza katika mashindano ya mchezo wa  kuogelea...

Kamishna wa umeme na Nishati Jadidifu afanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya umeme Dar

▪️Aridhishwa na hatua ya utekelezaji wa miradi
 ▪️Awataka wakandarasi kuzingatia viwango na TANESCO kuongeza usimamizi...

Kampeni ya pika Smart inayohamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia yazinduliwa

📌 Kamishna Luoga asisitiza matumizi ya umeme katika Nishati Safi ya Kupikia Na Mwandishi Wetu...

Wizara ya Elimu yazindua kituo cha huduma kwa wateja

Na Mwandishi Wetu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imezindua Kituo cha Huduma kwa wateja,...

Watanzania  wako tayari kuchangia  harusi, sio gharama za matibabu ya mtoto- Dk. Mollel

Na Mwandishi Wetu Serikali imetoa wito kwa wananchi kubadilika na kuwekeza katika bima ya afya...

Watu tisa wafariki dunia, 44 wajeruhiwa ajali ya basi na Lori Morogoro

Na Mwandishi Wetu Watu tisa wamefariki dunia papo hapo na wengine 44 kujeruhiwa baada ya...

Ndege ya Air India yaanguka, ikiwa na abiria  242

Na Mwandishi Wetu Ndege ya abiria ya Shirika la Ndege la  India ‘Air India’  iliyokuwa inatokea nchini...

Rais Mwinyi: SMZ imeweka mkazo kuifungua Pemba kiuchumi

Na Mwandishi Wetu RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein...

Dkt. Jingu: Usawa wa Kijinsia ni kipaumbele cha Serikali

Na Mwandishi Wetu, Dodoma KATIBU Mkuu wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum,...

Sakata la dabi ya Kariakoo, Serikali yatoa msimamo

Na Mwandishi Wetu Serikali imesema kuwa inaendelea kufuatilia kwa makini sakata la mchezo wa Ligi...

Rais Mwinyi akaribisha   wawekezaji Wachina  kuendeleza tafiti za dawa   za asili

Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali...

Latest articles

ELAF yahimiza maridhiano na amani baada ya Uchaguzi Mkuu

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam TAASISI ya Everlasting Legal Aid Foundation (ELAF) imewataka Watanzania...

Taifa Stars ya Gamondi amrejesha Kelvin John

Na Mwandishi Wetu Kaimu Kocha Mkuu wa timu ya Taifa, Taifa Stars Miguel Gamondi amemrudisha...

‘Hali ya huduma ya maji Dar, Pwani ni shwari’

Na Mwandishi Wetu WAKAZI mbalimbali wa Jiji la Dar es Salaam na Mkoa wa...

Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Uchaguzi Mkuu wa 2025 ni halali

Na Mwandishi wetu MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Hamza Johari amesema kuwa, Uchaguzi Mkuu wa...