Na Mwandishi Wetu
JESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro limesema linachunguza tukio la kuchoma moto na kuharibu magari mawili yaliyotumika kusafirishia mwili wa marehemu, tukio lililofanywa na waombolezaji wa msiba wakidaiwa kutilia mashaka mazingira ya kifo cha marehemu.
Tukio hilo limetokea jana Disemba 17, 2025 katika Wilaya ya...
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi, ameiaga na kuikabidhi bendera timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kuelekea fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON 2025).Hafla hiyo imefanyika nchini Misri ambako Taifa Stars ilikuwa kambini kujiandaa na mashindano hayo,...