Na Mwandishi Wetu
BURUDANI na michezo mbalimbali vilitawala Tamasha la Kids Holiday Festival lililowakusanya mamia ya watoto wakati wa likizo, huku likiwa jukwaa muhimu la kuwajengea watoto uelewa wa masuala ya fedha, uchumi na ujasiriamali tangu wakiwa katika umri mdogo.
Tamasha hilo, ambalo Benki ya...

ALIYEKUWA Mgombea wa Bavicha Taifa, Masoud Mambo amesema kuwa demokrasia ya kweli haijengwi kwa mashinikizo, vitisho au siasa za misimamo mikali, bali hujengwa kwa hoja, ushindani wa sera na heshima kwa katiba na sheria za nchi.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini...
Na Mwandishi Wetu
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT), Hamis Livembe, amesema mchakato wa uchaguzi wa viongozi wa jumuiya hiyo uliomalizika hivi karibuni ulikuwa...
Na Mwandishi Wetu
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT), Hamis Livembe, amesema mchakato wa uchaguzi wa viongozi wa jumuiya hiyo uliomalizika hivi karibuni ulikuwa wa haki, halali na uliozingatia taratibu zote, akikanusha madai kwamba uongozi uliopo umewekwa.
Akizungumza na waandishi wa habari, Livembe alisema uchaguzi...