Na Mwandishi Wetu
MWENYEKITI Bodi ya Ushauri ya Wizara kwa TMDA (MAB), Eric Shitindi amekutana na wasimamizi wa sheria mbalimbali katika kituo cha Mpaka cha Mutukula, Kagera tarehe 29 Januari, 2026 na kuteta kuhusu masuala ya udhibiti wa bidhaa za dawa na vifaa tiba...

Na Tatu Mohamed
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema serikali imejipanga kuhakikisha hakuna mtoto anayefika darasa la tatu bila kuwa na uwezo wa kusoma, kuandika na kuhesabu, akisisitiza kuwa huo ndio msingi wa elimu bora na maendeleo ya...
KATIKA dunia tunayoishi sasa suala la uwazi katika kuendesha mambo limekuwa miongoni mwa nguzo kuu za kusaidia kupata mafanikio na uwajibikaji. Misingi ya kuendesha...
KATIKA dunia tunayoishi sasa suala la uwazi katika kuendesha mambo limekuwa miongoni mwa nguzo kuu za kusaidia kupata mafanikio na uwajibikaji. Misingi ya kuendesha mifumo, hasa katika utawala uliojengwa kwenye demokrasia, uwazi hautajwi tu kama moja ya vitu muhimu vya kuzingatiwa katika utendaji kazi...