📍 Kamati yaipongeza TAWA kwa ubunifu uliopelekea ongezeko la watalii, mapato
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii inayoongozwa na Mwenyekiti wake, Timotheo Mzanva (Mb) imeipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kwa ubunifu wake katika sekta ya...
Na Mwandishi Wetu
BODI ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imewasisitiza waajiri kwenye vyombo vya habari nchini kuzingatia kikamilifu masharti ya Sheria ya Huduma za Habari, Sura ya 229, hususan wanapoajiri au kuwasainisha mikataba watumishi wa kada ya habari, ili kuepuka migogoro ya kisheria...