CCM watuma salaam kifo Cha LowassaChama Cha Mapinduzi CCM wametuma salaam za pole kwa ndugu jamaa na marafiki kupitia kifo Cha aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa .
CCM wamesema watamkumbuka Lowassa kwa umahiri wake katika kazi na akivyotumia akili yake kwa ajili ya kuitumikia chama na wananchi.
Wamewasihi ndugu kuwa watukivu katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo.