Kombe la Shirikisho hatua 32 Yanga yaangukia Polisi, Simba B19

Na Winfrida Mtoi

DROO ya hatua ya 32 wa Kombe la Shirikisho  msimu wa 2025/26, imefanyika leo Februari 24, 2026 ambapo Simba imepangwa  dhidi ya B19 FC huku Yanga ikiangukia  Polisi Tanzania.

Katika hatua iliyopita Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Cosmopolitan, wakati Simba ikiichapa Greenland mabao 3-0.

Hii hapa ratiba kamili ya michezo ya hatua 32

-Azam FC                vs        Mbeya Kwanza
– Singida Bs            vs        Songea United
-Geita Gold FC        vs        Nyika FC
– JKT Tanzania       vs        Hausang FC
– Coastal Union      vs        Stand United
– Yanga                  vs        Polisi Tanzania
-Simba                   vs        B19 FC
-Namungo              vs        Kagera Sugar
– Mbeya City           vs        Bandari FC
-Fountane Gate     vs        Gunners FC
-TRA United           vs        Kijiwe Nongwa FC
-Tanzania Prisons vs       TMA Stars
-Dodoma Jiji           vs        African Sports
-Pamba Jiji             vs        Transit Camps
-Mtibwa Sugar       vs        Mbuni FC
-Mashujaa FC         vs        Kengold FC

spot_img

Latest articles

Mchezo wa kuogelea wazidi kupaa nchini, TSA  yafichua siri

Na Winfrida  Mtoi MCHEZO wa kuogelea umezidi kushika kasi nchini  kutokana na kuongezeka idadi ya...

Dkt Nchimbi atembelea banda la Tanesco

Na Mwandishi Wetu MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi...

Waogeleaji chipukizi 400 kutikisa Dar kesho

Na Mwandishi Wetu Zaidi ya waogeleaji 400 wenye umri wa miaka 6 hadi 12 wanatarajiwa...

Wabunge walifuata mkumbo kwenda Morocco kuishangilia Serengeti Boys lawakuta jambo

Na Mwandishi Wetu SPIKA wa Mbunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu ametoa siku nne za...

More like this