Dkt Nchimbi atembelea banda la Tanesco

Na Mwandishi Wetu

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ametembelea banda la Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) kwenye kilele cha Maonesho ya Siku ya Mazingira Duniani yanayofanyika jijini Dodoma.

Mhe. Balozi Dkt. Nchimbi ametembelea banda la hilo leo Juni 5, 2026 ambapo amepata nafasi ya kuelezwa miradi mbalimbali inayotekelezwa na shirika hilo ikiwemo matumizi ya Nishati Safi ya kupikia kwa umeme pamoja na utunzaji wa mazingira kwenye vyanzo vya uzalishaji wa umeme.

Akitoa maelezo kwa Mhe.Balozi Dkt.Nchimbi Mkuu wa Kitengo cha Mazingira Wizara ya Nishati Emmilian Nyanda ameeleza kuwa TANESCO imekuwa ikifanya jitihada kubwa za kutoa elimu ya umuhimu wa Nishati Safi ya kupikia kwa Umeme kwa lengo la kuhakikisha kila mwananchi anashiriki kwenye suala la utunzaji wa Mazingira.

Maonesho ya mwaka ya mazingira 2026 yalikuwa na kauli mbiu isemayo Dira 2050, Tuwajibike Kukijanisha Tanzania.

spot_img

Latest articles

TAEC YAFANYA UKAGUZI WA MATUMIZI SALAMA YA MIONZI MKOANI LINDI

Na Mwandishi Wetu KAIMU Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi, Bwn. Natalis Linuma, amesema...

Msajili wa Hazina aitaka TANROADS kuongeza ufanisi

Na Mwandishi Wetu MSAJILI wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, leo, Septemba 18, 2026, ametoa...

TANESCO IMEJIPANGA KUKABILIANA NA ATHARI ZA EL NIÑO – MD TWANGE

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema limejipanga kukabiliana na...

MRADI WA UMEME SIMIYU KUFUNGUA FURSA ZA UWEKEZAJI NA KUCHOCHEA SHUGHULI ZA KIUCHUMI WANANCHI

📌 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mhe.Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba...

More like this