Taifa Stars yapigwa nyumbani

Na Mwandishi Wetu

Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imepoteza mchezo wake dhidi ya Niger uliopigwa leo Septemba 9, 2025 katika Dimba la New Amani Complex Zanzibar kwa kufungwa bao 1-0

Kwa kichapo hicho Taifa Stars wanasalia nafasi ya pili kundi E ikiwa na pointi 10, Morocco ndiyo inaongoza   na tayari imeshafuzu kucheza Kombe la Dunia, huku Niger ikiwa nafasi ya tatu na alama tisa.

Stars ilihitaji ushidi leo ili kuwa na matuini ya kucheza hatua ya mchujo, Wiki iliyopita ilitoka sare ya 1-1  ugenini na Congo Brazaville ugenini hali inayoiweka katika ugumu.

spot_img

Latest articles

Mnyama Simba afia kwa Mkapa, Yanga, Azam kicheko

Na Winfrida Mtoi LIGI Kuu Tanzania Bara imeendelea leo Novemba 7, 2025 kwa michezo miwili...

Waziri Aweso aweka kambi Dar kupambana na changamoto upungufu wa maji

Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso (Mb) amefanya ziara ya kikazi katika...

Waziri wa Nishati Ndejembi azindua rasmi mita janja

Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Nishati, Deogratius Ndejembi amezindua rasmi mita janja (smart meter)...

RC Kunenge: Mto Ruvu ubaki kwa matumizi ya binadamu tu, tusitishe shughuli nyingine kwa muda

Na Mwandishi Wetu MKUU wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, ametoa wito kwa wakulima...

More like this