Simba yaanza na pointi  moja Ligi ya Mabingwa Afrika

Na Mwandishi Wetu
Mnyama Simba  amefanikiwa kuondoka na alama moja dhidi ya Orlando Pirates baada ya timu hizi kutoka  sare ya 2-2 katika mchezo wa kwanza wa Kundi C wa Ligi ya Mabingwa Afrika, uliopigwa leo Jumapili, Novemba 29,2026,  Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

Simba iliongoza kipindi cha kwanza, ikienda mapumziko  kifua mbele   ikiongoza  mabao 2-0. Mabao hayo yalifungwa na   Libasse Gueye (dakika ya 10) na Anthony Mligo (dakika ya 42).

Hata hivyo furaha ya wanasimba iliisha baada ya  Orlando Pirates kusawazisha mabao yote mawili kupitia kwa Tshepang Moremi (dakika ya 53) na Simphiwe Selepe (dakika ya 63).

spot_img

Latest articles

Msajili wa Hazina aitaka TANAPA kubuni vyanzo vipya vya mapato

Na Mwandishi Wetu MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu, ameitaka Menejimenti ya Shirika la Hifadhi...

Yanga yapigika Zanzibar

Bao la dakika ya 90, lililofungwa na mchezaji Sofiane Bayazid linaipa pointi tatu MC...

Serikali yanunua asilimia 27.73 ya hisa TMRC kwa Sh17.76 bilioni

Na Mwandishi Wetu SERIKALI imekuwa mwanahisa mkubwa zaidi wa Kampuni ya Mikopo ya Nyumba...

COP31: TANZANIA KUPATA ZAIDI YA SH12 TRILIONI

Na Mwandishi Wetu TANZANIA imepata ahadi za kifedha na fursa za uwekezaji zenye thamani...

More like this