Bao la dakika ya 90, lililofungwa na mchezaji Sofiane Bayazid linaipa pointi tatu MC Alger ya Algeria dhidi ya Wananchi Yanga katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika uliopigwa leo Novemba 28, 2026 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
Yanga SC 🇹🇿 0-1 🇩🇿 MC Alger


