Minziro akabidhiwa Fountain Gate FC

Na Mwandishi Wetu

KLABU ya Fountain Gate FC imemtangaza Fred Felix Minziro kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo, akichukua nafasi ya Mohamed Laizer ambaye amefutwa kazi kutokana na mwenendo usioridhisha wa timu.

Kwa mujibu wa taarifa ya klabu hiyo, Minziro ataongoza benchi la ufundi akisaidiwa na makocha  wengine Mathias Wandiba pamoja na Abubakari Francis, ambaye anaendelea na majukumu yake ndani ya kikosi hicho.

Minziro anapewa jukumu hilo wakati Fountain Gate ikiwa katika nafasi ya 14 kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, baada ya kucheza michezo 17 na kujikusanyia alama 16.

Uongozi wa klabu hiyo umesema  una Imani na Minziro kutokana na uzoefu wake katika soka la Tanzania, huku ikiendelea kuhakikisha inajenga timu imara.

spot_img

Latest articles

DCEA yakamata Kilo 101.2 za Mirungi ndani ya Basi la Abood, watano mbaroni

Na Mwandishi wetu Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata...

Wakurugenzi Media Brains waapishwa kuwa Majaji tuzo za EJAT

Na Mwandishi Wetu WAKURUGENZI wa Kampuni ya Media Brains wameapishwa wameteuliwa na Baraza la Habari...

CRDB yaandika historia, yapata faida ya Trilioni 1

Na Mwandishi wetu BENKI ya CRDB imepata faida ya Sh trilioni moja kabla ya...

Mchezaji auawa na majambazi nchini Ghana

MCHEZAJI wa soka nchini Ghana, Dominic Frimpong, ameuawa kwa kupigwa risasi baada ya...

More like this