Yanga yatua Zanzibar kuitengenezea dozi AS FAR Rabat

Na Winfrida Mtoi

Kikosi cha Yanga kimetua visiwani Zanzibar kwa maandalizi ya kuikabili AS FAR Rabat ya Morocco katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika utakaopigwa Novemba 22,2025 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex.

 Yanga imeondoka leo Novemba 18, 2025 jijini Dar es Salaam kuelekea visiwani  humo,  ikiwa na baadhi ya wachezaji kutokana na wengine kuwa katika majukumu ya timu zao za  taifa ambao wanatarajiwa kujiunga na timu muda wowote.

Kocha Mkuu wa timu hiyo Pedro Goncalves amesema wachezaji hao watafika kwa wakati unaotakiwa kujiandaa mchezo huo.

spot_img

Latest articles

JAB yazindua mwongozo wa kisheria wa utoaji wa Ithibati ya maisha kwa waandishi

Na Mwandishi Wetu BODI ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imezindua rasmi Mwongozo wa...

BRELA YAIBUA FURSA MPYA ULINZI WA ALAMA ZA BIASHARA KWA WAJASIRIAMALI

Na Mwandishi Wetu Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imewataka wajasiriamali wanaoshiriki...

TTB yakutanisha wadau kujadili mustakabali wa Destination Tanzania

Na Mwandishi Wetu Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imewakutanisha wadau mbalimbali wa sekta ya...

Dkt. Jafar Seif: Banda la Ofisi ya Waziri Mkuu Sabasaba larahisisha upatikanaji wa huduma kwa wananchi

Na Mwandishi Wetu NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za...

More like this