Simba kuwania tuzo ya Klabu Bora Afrika, Kapombe mchezaji bora

Na Mwandishi Wetu

Klabu ya Simba imeteuliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kuwania tuzo ya Klabu Bora Afrika (Club of the Year) kwa mwaka wa mashindano wa 2025.

Simba imeingia katika mchujo wa kuwania tuzo hiyo  ikichuana na timu 10 ambazo ni Cr Belouizdad, Constantine, Al hilal Omdurman, Zamalek, Stellenbosch, Rs Berkane, Mamelod Sundwons, Orlando Pirate, Pyramids pamoja na Asec Mimosas.

Kwa upande wa wachezaji, Nahodha wa klabu ya Simba, Shomari Kapombe ametajwa kwenye orodha ya wachezaji 10 wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa  klabu kwa Afrika kwa mwaka 2025.

Wachezaji wanaochuana nao ni  Fiston Kalala Mayele (Pyramids FC), Ismail Belkacemi (Al Ahli ya Libya),  lbrahim Blati Touré(Pyramids), Issoufou Dayo( aliyekuwa RS Berkane) na Emam Ashour (Al Ahly), Ibrahim Adel(aliyekuwa Pyramids), Mohamed Hrimat (AS FAR Rabat), Mohamed Chibi (Pyramids) na Oussama Lamlioui (RS Berkane).

spot_img

Latest articles

Oktoba 29 siku ya giza, ifungue milango ya haki

OKTOBA 29, 2025 itabakia kuwa siku ya giza na machungu katika historia ya Jamhuri...

Fountain Gate yatoa kocha bora

Na Mwandishi Wetu Kocha wa timu ya Fountain Gate,  Mohamed Laizer amechaguliwa kuwa kocha bora...

Nyota JKT Queens aipigia hesabu Asec Mimosa

Na Winfrida Mtoi Mshambuliaji wa JKT Queens FC, Jamila Rajabu, amesema  amejipanga  kutengeneza  nafasi na...

Zungu achaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Na Mwandishi Wetu MBUNGE mteule wa Jimbo la Ilala Mussa Azzan Zungu ameibuka mshindi...

More like this