Pichani ni Viongozi wa sekretarieti ya Umoja wa Vijana CCM wakikabidhi vifaa mbalimbali wezeshi Kwa ajili ushiriki wa Mkutano Mkuu wa Maalum wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM)
Mkutano Mkuu Maalum wa UVCCM unatarajiwa kufanyika kesho Agosti 1, 2025 katika Ukumbi wa Jiji, Mtumba Jijini Dodoma.


