DCP Mambosasa afungua mafunzo ya medani za kivita

Na Mwandishi Wetu

Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Dk. Lazaro Mambosasa amefungua mafunzo ya medani za kivita kwa kozi ya uafisa na Mkaguzi Msaidizi wa Polisi namba  1.2024/2025 kwa lengo la kuwajengea uwezo hususani eneo la medani za kivita.

Akizungumza Mei 7, 2025  katika kambi ya Mkomazi iliyopo mkoani Tanga  ambapo  Dk. Mambosasa amewataka wanafunzi hao kuendelea kujifunza mbinu mbalimbali na kuzingatia weledi na maarifa  wanayopatiwa ili kuongeza tija katika utendaji wao wa kazi za kila siku kwa kuhakikisha usalama wa raia na mali zao unaendelea kuimarika.

Aidha, Dk. Mambosasa amempongeza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura kwa namna anavyoendelea kutoa fursa za kimasoma na mafunzo ya ndani na nje ya nchi kwa maafisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali ili kuwa na Jeshi la kisasa lenye viwango.

spot_img

Latest articles

Mwakinyo ashinda kwa K.O, afichua siri

Na Winfrida Mtoi Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo ameibuka mshindi kwa K.O...

Mwakinyo kuilipia kisasi Taifa Stars dhidi ya Mnigeria kesho, Furahi apania rekodi

Na Winfrida Mtoi BONDIA wa kimataifa wa Tanzania, Hassan Mwakinyo, ameweka bayana kuwa pambano lake...

Serikali kuendelea kuwawezesha vijana kijamii, kiuchumi

Na Tatu Mohamed WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, Joel...

Kids Holiday Festival yawavuta mamia ya watoto, CRDB yatumia jukwaa kujenga uelewa wa fedha

Na Mwandishi Wetu BURUDANI na michezo mbalimbali vilitawala Tamasha la Kids Holiday Festival lililowakusanya...

More like this