Na Mwandishi Wetu
Robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika timu ya Simba imeangukia kwa Al Masry ambapo mchezo wa kwanza itaanzia ugenini wa pili kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar Es Salaam.
Endapo itafuzu hatua ya nusu fainali itakwenda kukutana na mshindi kati ya Zamalek na Stellenbosch FC.