SADC kukutana leo kujadili vita DRC

Na Mwandishi Wetu

VIONGOZI wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) wanatarajiwa kukutana leo huko Harare, Zimbabwe kwa mkutano maalum kujadili vita vinavyoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

Mkutano huu unafanyika huku vikosi vya kijeshi vya kikanda, vinavyoshirikiana na vikosi vya ulinzi vya Congo, vikiripotiwa kupata majeruhi baada ya waasi kuchukua sehemu ya mji wa Goma mashariki mwa DRC.

Viongozi wanatarajiwa kujadili jinsi ya kumaliza mvutano katika eneo la mashariki mwa Congo, na mustakabali wa operesheni za kijeshi za SADC katika eneo hilo. Zimbabwe, kama mwenyeji wa mkutano, imeonyesha wasiwasi kwamba mzozo huu unaweza kuathiri nchi wanachama wa SADC.

Wanajeshi kutoka Afrika Kusini, Malawi, na Tanzania wameuawa katika mapigano dhidi ya waasi wa M23.

Hali ya mawasiliano inazidi kuwa tete, huku Umoja wa Mataifa ukishutumu Rwanda kwa kusaidia waasi wa mashariki mwa DRC, madai ambayo Rwanda imeyakanusha.

Chanzo: Dw

spot_img

Latest articles

OTR na IMF zajadili utendaji wa taasisi za umma

Na Mwandishi Wetu MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu, amekutana na ujumbe wa Shirika la Fedha...

MAAMBUKIZI MAPYA YA VVU YAPUNGUA KUTOKA 98,754 HADI 33,511

Na Tatu Mohamed MAAMBUKIZI mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU) nchini yamepungua kutoka watu 98,754...

MRADI WA UPANUZI WA KITUO CHA KUPOZA UMEME DEGE KUIMARISHA HALI YA UPATIKANAJI WA UMEME KIGAMBONI

📌Wafikia Asilimia 90 katika utekelezaji wake 📌 Kukamilika Mwisho wa Mwezi Disemba 2026 Na Mwandishi Wetu...

GBT yaikaribisha BetSasa sokoni, yaitaka kuzingatia maadili

Na Mwandishi Wetu MKURUGENZI Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha (GBT), James Mbalwe ameikaribisha...

More like this