KUMEKUWA na mjadala wa wiki kadhaa sasa ukimlenga Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba, kwa kuwa tu alitoa maoni yake juu ya hali ya kisiasa ilivyo nchini. Jaji Warioba ambaye pia alipata kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wakati wa utawala wa awamu ya...
📍 Kamati yaipongeza TAWA kwa ubunifu uliopelekea ongezeko la watalii, mapato
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii inayoongozwa na Mwenyekiti wake, Timotheo Mzanva (Mb) imeipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kwa ubunifu wake katika sekta ya...