Na Mwandishi Wetu
Klabu ya Azam imemrejesha golikipa wao wa zamani, Aishi Manula akitokea Simba na kumpa mkataba wa miaka mitatu.
Manula ambaye pia ni kipa wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars alianza kung'ara akiwa timu ya vijana ya Azam, alijiunga na Simba mwaka...
Na Mwandishi Wetu
Klabu ya Fountain Gate imefanikiwa kusalia kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu ujao baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Stand United katika mchezo wa mtoano uliopigwa kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, mkoani Manyara.
Fountain Gate meshinda jumla ya mabao 5-1...