Simba yapewa wakusanya kodi, Yanga maafande

Na Mwandishi Wetu

DROO ya hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho, imefanyika leo Aprili 17, 2026, jijini Dar es Salaam, ambapo Simba imepangwa dhidi ya TRA United huku Yanga ikipewa JKT Tanzania.

Kwa upande wa Azam FC watakuwa wageni, Mashujaa FC katika dimba la Lake Tanganyika, wakati Singida Black Stars itakutana na  Coastal Union  kwenye Uwanja wa  Mkwakwani, Tanga.

Akizungumzia ratiba hiyo, Ofisa Habari wa JKT Tanzania, Masau Bwire ametamba kuwa  hawaihofii kupangwa na Yanga na wamefurahia, anaamini malengo yao yatatimia ya kufika fainali baada ya msimu uliopita kuishia nusu fainali.

“Mechi yetu ya mwisho na Yanga pale KMC yaliwashitua wengi, kuwaonesha ya kwamba sisi tuko vizuri kuliko Yanga, tunakwenda kuwaonesha Watanzania, hadi hapa mechi na Yanga tushamaliza. Nina hakika kichapo cha kizalendo kitaonekana,” amesema. Masau.

spot_img

Latest articles

Sasa itoshe kuvumilia uzembe huu

WIKI iliyopita zilisambaa habari za soko jipya la kisasa la Chuini lililojengwa kwa gharama...

CRDB yazindua msimu wa nne wa Zogo Mchongo, yasisitiza elimu ya fedha na matumizi ya teknolojia kukuza uchumi

Na Tatu Mohamed BENKI ya CRDB imezindua rasmi msimu wa nne wa kipindi cha Zogo...

WAZIRI NDEJEMBI ATOA ONYO KWA MKANDARASI ANAYETEKELEZA MRADI WA SONGEA–TUNDURU–MASASI

📌 Asema ucheleweshaji wa mradi hauendani na matarajio ya Serikali na wananchi. 📌 Amuagiza mkandarasi...

Taasisi za umma zatakiwa kuachana na utendaji wa mazoea ili kufanikisha Dira 2050

Na Mwandishi Wetu SERIKALI imezitaka Taasisi, Mashirika ya Umma na Wakala za Serikali kuachana...

More like this