Simba yainyuka Fountain Gate mabao 3-0

Na Mwandishi Wetu
 
SIMBA imechukua alama zote tatu kwa Fountain Gate kufuatia ushindi wa 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha.

 Katika mchezo ulichezwa leo Aprili 15,2026 mabao ya Simba yamefungwa na Clatous Chama (dk 45+6), Libase Gueye (dk 53) na Shaban Pandu (dk71).

Mchezo huo ulianza kwa kasi huku Fountain Gate wakijaribu kuzuia mashambulizi ya Simba, lakini ukuta wao ulipasuka dakika za nyongeza kabla ya mapumziko:

Ushindi huo unamfanya Mnyama Simba kufikisha  pointi 39 baada ya mechi 18 akiendelea kusalia nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi hiyo,  akiwa alama tano nyuma ya vinara Yanga.

spot_img

Latest articles

Tukatae kunyweshwa sumu hii

“Kama taifa letu lilipata kuwa na bahati ni kuwa na Rais aliyechukia rushwa kama...

Chipukizi wa kuogelea kushindana ‘ East Africa Development Swimming Gala’

Na Mwandishi Wetu ZAIDI ya waogeleji 600 wanatarajiwa kushiriki katika mashindano ya kuogelea ya chipukizi...

Mahakama yaipa uhuru Chadema, sasa ruksa kufanya siasa

Na Mwandishi Wetu MAHAKAMA ya Rufani Tanzania leo 15 Aprili 2026, imekiondolea kifungo cha kutofanya...

Rais Mwinyi akagua Mji wa AFCON Fumba

Na Mwandishi WetuRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali...

More like this