Busungu wa TADEA achukua fomu kuwania urais

Na Mwandishi Wetu

Mwenyekiti wa Tume Huru yaTaifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele, amemkakabidhi Georges Busungu.
 mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa kiti cha rais na makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Democratic Alliance (TADEA).

Mgombea huyo aliambatana na mgombea mwenza, Ali Makame Issa leo Agosti 11, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu.

Mgombea wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Democratic Alliance (TADEA), Georges Busungu na Mgombea Mwenza, Ali Makame Issa (kushoto) wakionesha mkoba baada ya kukabidhiwa na Tume katika Ofisi za Tume Njedengwa, jijini Dodoma leo Agosti 11, 2025.Picha na INEC
 
spot_img

Latest articles

WINTZ YAWAFUNGULIA FURSA WANAWAKE WA KCMC KATIKA TEKNOLOJIA YA NYUKLIA

Na Mwandishi Wetu JUMUIYA ya Wanawake katika Nyuklia Tanzania (WiNTz) imetembelea Hospitali ya KCMC...

CRDB Marathon yaendelea kuchochea afya, uwezeshaji vijana

Na Mwandishi Wetu MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amesema Tanzania...

More like this

WINTZ YAWAFUNGULIA FURSA WANAWAKE WA KCMC KATIKA TEKNOLOJIA YA NYUKLIA

Na Mwandishi Wetu JUMUIYA ya Wanawake katika Nyuklia Tanzania (WiNTz) imetembelea Hospitali ya KCMC...