Naibu Waziri Mambo ya Nje aipongeza REA kwa utekelezaji wa Miradi ya Nishati

Na Mwandishi

NAIBU Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Cosato Chumi Agosti 07, 2025 ametembelea banda la Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na kupongeza namna Wakala ilivyotekeleza Miradi mbalimbali vijijini.

Chumi amesema Miradi yote inayotekelezwa na Wakala (REA) imekuwa na athari chanya kwenye maendeleo ya Watu waishio vijijini.

“Nawapongeza REA kwa kazi nzuri na ufanisi katika kutekeleza Mradi wa Ujazilizi II (C) na Mradi wa Taa za Barabarani, Sisi Mafinga ni wanufaika wa Miradi ya REA,” amesema Chumi.

spot_img

Latest articles

DAWASA YAREJESHA MAJI KIKONGO BAADA YA MIAKA MIWILI

Na Mwandishi Wetu WAKAZI takribani 1,500 wa Vijiji vya Lupunga, Videte na Kwa Mkino,...

STAMICO YAONGEZA MAPATO HADI SH BILIONI 147.8

Na Tatu Mohamed SHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) limeongeza mapato yake ya ndani kutoka...

SERIKALI KUANZA UTAFITI WA MADINI ENEO KUBWA LA NCHI KWA KUTUMIA FEDHA ZA NDANI

Ni kupitia mfuko wa utafiti wa Madini ▪️Rais Samia apongezwa kwa dhamira ya kukuza sekta...

NDEJEMBI ARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA KITUO CHA UMEME IGANJO, MBEYA

📌 Ujenzi wa kituo hicho umefikia asilimia 93 ya utekelezaji 📌 Aeleza manufaa ya mradi...

More like this