RC Chalamila akutana na Meya wa Jiji la DALAS-Marekani

Na Mwandishi Wetu

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila leo Julai 21,2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Meya wa Jiji la Dallas nchini Marekani, Eric Johnson akiwa ameambatana na ujumbe kutoka Jiji hilo ofisini kwake Ilala Boma Jijini Dar es Salaam.

Katika mazungumzo yao mambo mbalimbali yamejadiliwa ikiwemo kukuza mahususiano ya kibiashara, uwekezaji, na utalii kwa lengo kukuza uchumi wa pande zote mbili.

Aidha ujio wa Meya wa Jiji la Dallas nchini Marekani ni ishara ya kuimarika kwa Diplomasia ya Kimataifa kati ya Tanzania na Marekani vilevile uongozi mahiri wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan katika kukuza mahususiano ya kidiplomasia ndani na nje ya nchi.

spot_img

Latest articles

ELAF yahimiza maridhiano na amani baada ya Uchaguzi Mkuu

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam TAASISI ya Everlasting Legal Aid Foundation (ELAF) imewataka Watanzania...

Taifa Stars ya Gamondi amrejesha Kelvin John

Na Mwandishi Wetu Kaimu Kocha Mkuu wa timu ya Taifa, Taifa Stars Miguel Gamondi amemrudisha...

‘Hali ya huduma ya maji Dar, Pwani ni shwari’

Na Mwandishi Wetu WAKAZI mbalimbali wa Jiji la Dar es Salaam na Mkoa wa...

Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Uchaguzi Mkuu wa 2025 ni halali

Na Mwandishi wetu MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Hamza Johari amesema kuwa, Uchaguzi Mkuu wa...

More like this