Arajiga kuchezesha CHAN

Na Mwandishi Wetu

Mwamuzi  wa Tanzania  ,Ahmed Arajiga  ni miongoni  mwa waamuzi wa  wameteuliwa  kuchezesha michuano ya  CHAN yanayotarajiwa kuanza kutimua vumbi Agosti 2,2025.

Uteuzi huo wa Arajiga ni muendelezo wa kupata nafasi ya kuchezesha mashindano mkubwa,  kwani amekuwa akifanya vizuri katika mashindano akisimama kama mwamuzi wa kati.

Mwamuzi mwingine kutoka Tanzania ambaye ameteuliwa kushiriki katika michuano hiyo Ally Hamdani Said, ambaye atatumika kama mwamuzi msaidizi.

Fainali za CHAN zitachezwa katika chi tatu za Afrika Mashariki   ambazo ni  Tanzania, Kenya, na Uganda ambapo ufunguzi utafanyika Tanzania, huku mechi ya ufunguzi ikitarajiwa kuikutanisha Taifa Stars na Burkina Faso kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.   

spot_img

Latest articles

Waziri wa Nishati Ndejembi azindua rasmi mita janja

Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Nishati, Deogratius Ndejembi amezindua rasmi mita janja (smart meter)...

RC Kunenge: Mto Ruvu ubaki kwa matumizi ya binadamu tu, tusitishe shughuli nyingine kwa muda

Na Mwandishi Wetu MKUU wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, ametoa wito kwa wakulima...

Tume ya Jaji Chande na mlima wenye utelezi

KAMA kuna tume ya uchunguzi iliyopata kuundwa nchini kwa jambo mahususi, ikajikuta katika uwanja...

Rais Samia: Walilenga kupindua dola

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa vurugu...

More like this