Msajili wa Hazina aitaka TANROADS kuongeza ufanisi

Na Mwandishi Wetu

MSAJILI wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, leo, Septemba 18, 2026, ametoa maagizo kwa uongozi wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kuhusu hatua za kuchukua ili kuongeza ufanisi na kuimarisha utendaji wa Wakala huo.

Maagizo hayo yametolewa wakati wa kikao kati ya Msajili wa Hazina na uongozi wa TANROADS katika Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR), Dar es Salaam, huku ujumbe wa TANROADS ukiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala huo, Mha. Mohamed Besta.

Maagizo hayo yamelenga kuhakikisha TANROADS inaendelea kuimarisha ufanisi, uwajibikaji na tija katika utekelezaji wa majukumu yake, pamoja na kuongeza thamani ya uwekezaji wa Serikali katika miundombinu ya barabara.

OTR ina jukumu la kusimamia uwekezaji na maslahi ya Serikali katika taasisi na kampuni za umma, zikiwemo kampuni ambazo Serikali ina hisa chache.

Kwa sasa, OTR inasimamia jumla ya taasisi na kampuni 308.

spot_img

Latest articles

TAEC YAFANYA UKAGUZI WA MATUMIZI SALAMA YA MIONZI MKOANI LINDI

Na Mwandishi Wetu KAIMU Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi, Bwn. Natalis Linuma, amesema...

TANESCO IMEJIPANGA KUKABILIANA NA ATHARI ZA EL NIÑO – MD TWANGE

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema limejipanga kukabiliana na...

MRADI WA UMEME SIMIYU KUFUNGUA FURSA ZA UWEKEZAJI NA KUCHOCHEA SHUGHULI ZA KIUCHUMI WANANCHI

📌 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mhe.Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba...

DAWASA YAWASHIRIKISHA WAFANYABIASHARA UDHIBITI UPOTEVU WA MAJI

Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)...

More like this