Chipukizi wa kuogelea kushindana ‘ East Africa Development Swimming Gala’

Na Mwandishi Wetu

ZAIDI ya waogeleji 600 wanatarajiwa kushiriki katika mashindano ya kuogelea ya chipukizi kwa vijana wadogo ‘East Africa Development Swimming Gala’ yatakayoanza Aprili 18 hadi 19, 2026 katika bwawa la Shule ya Sekondari ya FK iliyopo Jijini Dar es Salaam.

Mashindano hayo yaliyondaliwa na Prime Sports Agency yatakayoshirikisha nchi tano ambazo ni Kenya, Uganda, Malawi, Rwanda, Burundi pamoja na wenyeji Tanzania.

Akizungumzia mashindano hayo, Mkurugenzi wa Mipango wa Prime Sports Agency, Jeremiah Keema, amesema kuwa lengo ni kutoa nafasi kwa wavulana na wasichana kutoka shule na vilabu mbalimbali kushindana, kuonesha vipaji vyao na kuvikuza.

“Mashindano hayo yanatarajiwa kuwa chachu ya maendeleo ya mchezo wa kuogelea kwa vijana na kuibua vipaji vipya vya kimataifa,”

spot_img

Latest articles

Sasa itoshe kuvumilia uzembe huu

WIKI iliyopita zilisambaa habari za soko jipya la kisasa la Chuini lililojengwa kwa gharama...

CRDB yazindua msimu wa nne wa Zogo Mchongo, yasisitiza elimu ya fedha na matumizi ya teknolojia kukuza uchumi

Na Tatu Mohamed BENKI ya CRDB imezindua rasmi msimu wa nne wa kipindi cha Zogo...

WAZIRI NDEJEMBI ATOA ONYO KWA MKANDARASI ANAYETEKELEZA MRADI WA SONGEA–TUNDURU–MASASI

📌 Asema ucheleweshaji wa mradi hauendani na matarajio ya Serikali na wananchi. 📌 Amuagiza mkandarasi...

Taasisi za umma zatakiwa kuachana na utendaji wa mazoea ili kufanikisha Dira 2050

Na Mwandishi Wetu SERIKALI imezitaka Taasisi, Mashirika ya Umma na Wakala za Serikali kuachana...

More like this