Rashid Kilua ajitosa Ubunge Jimbo la Bumbuli

Na Mwandishi Wetu

MWENYEKITI wa Shina la JPM lililopo kata ya Kariakoo na Mjumbe wa Baraza kwenye Jumuiya ya Wazazi Kata ya Kariakoo, Rashid Kilua amechukua na kurudisha Fomu ya Ubunge Jimbo la Bumbuli wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga.

Kilua ni mjasiriamali wa Kariakoo na mdau wa Maendeleo kwenye mambo ya kijamii.

spot_img

Latest articles

Rasmi Kocha Yanga afungashiwa virago usiku

Na Mwandishi Wetu Uongozi wa Klabu ya Yanga umevunja mkataba na Kocha Mkuu, Romain Folz. ...

Mwanamke ashikiliwa  Polisi kwa  kumuua mume wake na kumfukia ndani ya nyumba yao

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linamshikilia mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina...

Padre aliyepotea apatikana akiwa hai

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limefanikiwa kumpata Padre Camillus Nikata wa Jimbo...

More like this