Rais Samia azindua Daraja la JP Magufuli

Na Mwandishi Wetu

Rais Samia Suluhu Hassan leo Juni 19, 2025 amezindua rasmi Daraja la  John Pombe Magufuli (Kigongo – Busisi) lililopo mkoani Mwanza, ili lianze kutumika  bade ya kukamilika  kwa asilimia 100.

Daraja hilo linaunganisha Wilaya ya Misungwi kupitia eneo la Kihongo na Wilaya ya Sengerema kupita eneo la Busisi, likiwa na urefu wa kilomita tatu pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa kilomita 1.66.

Ujenzi wa daraja hilo uliasisiwa na Hayati Magufuli na aliyefariki Machi 17, 2021 likiwa limefikia asilimia 24.6 za utekelezwaji wake na mrithi wake, Rais Samia  aliendeleza na hatimaye kukamilisha.

spot_img

Latest articles

ELAF yahimiza maridhiano na amani baada ya Uchaguzi Mkuu

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam TAASISI ya Everlasting Legal Aid Foundation (ELAF) imewataka Watanzania...

Taifa Stars ya Gamondi amrejesha Kelvin John

Na Mwandishi Wetu Kaimu Kocha Mkuu wa timu ya Taifa, Taifa Stars Miguel Gamondi amemrudisha...

‘Hali ya huduma ya maji Dar, Pwani ni shwari’

Na Mwandishi Wetu WAKAZI mbalimbali wa Jiji la Dar es Salaam na Mkoa wa...

Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Uchaguzi Mkuu wa 2025 ni halali

Na Mwandishi wetu MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Hamza Johari amesema kuwa, Uchaguzi Mkuu wa...

More like this