Aliyekuwa Rais wa Zambia, Edgar Lungu afariki dunia

Na Mwandishi wetu

Rais  wa  zamani  wa Zambia, Edgar Lungu, amefariki dunia  akiwa na umri wa miaka 65 baada ya kuugua kwa muda mfupi.

 Lungu amefariki akita latina matibabumaalum kwenye hospital ya Mediclinic Medforum nchini Afrika Kusini.

Aliongoza Zambia kuanzia mwaka 2015 hadi 2021, baada ya kuchukua mikoba hiyo kutoka kwa Michael Sata ambaye ni marehemu hivi sasa.

Mwaka 2021, Lungu alishindwa katika uchaguzi mkuu na mpinzani wake wa muda mrefu, Hakainde Hichilema ambaye sasa ni Rais wa Zambia.

spot_img

Latest articles

Sababu za kiusalama zazuia Lissu kufikishwa mahakamani

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Magereza limeshindwa kumfikisha mahakamani Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...

ELAF yahimiza maridhiano na amani baada ya Uchaguzi Mkuu

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam TAASISI ya Everlasting Legal Aid Foundation (ELAF) imewataka Watanzania...

Taifa Stars ya Gamondi amrejesha Kelvin John

Na Mwandishi Wetu Kaimu Kocha Mkuu wa timu ya Taifa, Taifa Stars Miguel Gamondi amemrudisha...

More like this