Na Mwandishi Wetu
MSANII na mtangazaji maarufu nchini, Clayton Chipando maarufu kama Baba Levo, ambaye pia ni Balozi wa Kampeni ya Walete ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), ametembelea banda la shirika hilo katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea...
IJUMAA ya wiki iliyopita yaani Juni 27, 2025 Rais Samia Suluhu Hassan aliweka historia kwa kutoa hotuba yake ya kwanza ya kuvunja Bunge. Alitangaza kuwa Bunge la 12 ambalo lilichaguliwa mwaka 2020 litafika ukomo wake Agosti 3, mwaka huu. Hili ndilo Bunge lililochaguliwa sambamba...