Wabunge walifuata mkumbo kwenda Morocco kuishangilia Serengeti Boys lawakuta jambo

Na Mwandishi Wetu

SPIKA wa Mbunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu ametoa siku nne za kujieleza kwa wabunge walikwenda Morocco kuishangilia Serengeti Boys bila kibali katika fainali za AFCON -17.

Zungu amesema hayo leo Juni 4, 2026 bungeni Dodoma na kuielekeza Ofisi ya Katibu wa Bunge kuwaandikia barua za kujieleza kwa nini wamevunja kanuni za kibunge za kutoka nje ya nchi bila kuwa na kibali cha ofisi ya Spika.

Amesema wabunge hao wakishindwa kuleta majibu ndani ya siku hizo, watachukuliwa hatua za kinidhamu kulingana na kanuni.

Amebainisha kuwa kumekuwa na utoro usiovumilika bungeni, ambapo baadhi ya wabunge wanaomba vibali wakisema wanakwenda majimboni lakini wanakwenda nje ya nchi.

spot_img

Latest articles

TAEC YAFANYA UKAGUZI WA MATUMIZI SALAMA YA MIONZI MKOANI LINDI

Na Mwandishi Wetu KAIMU Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi, Bwn. Natalis Linuma, amesema...

Msajili wa Hazina aitaka TANROADS kuongeza ufanisi

Na Mwandishi Wetu MSAJILI wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, leo, Septemba 18, 2026, ametoa...

TANESCO IMEJIPANGA KUKABILIANA NA ATHARI ZA EL NIÑO – MD TWANGE

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema limejipanga kukabiliana na...

MRADI WA UMEME SIMIYU KUFUNGUA FURSA ZA UWEKEZAJI NA KUCHOCHEA SHUGHULI ZA KIUCHUMI WANANCHI

📌 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mhe.Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba...

More like this