Aishi Manula afunguka ugumu wa kuikabili Uganda

Na Winfrida Mtoi

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), imeanza mazoezi kujiandaa na michezo miwili ya Kalenda ya FIFA dhidi ya Uganda na Rwanda, ambapo  kipa wa kikosi hicho Aishi Manula  amesema haitakuwa rahisi.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Juni 1, 2026 katika viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam wanapofanyika mazoezi, Manula amesema  timu hizi zina upinzani mkubwa zinapokutana kutokana na ujirani.

Amebainisha kuwa  michezo inayokutanisha timu za ukanda mmoja huwa  hazitabiriki kwa sababu hakuna timu inayokubali unyonge mbele ya jirani yake, hali inayoongeza presha na uzito wa michezo hiyo.

​”Nadhani ujirani tulionao ndio utakaosababisha mechi ziwe ngumu zaidi kwa sababu kila mmoja anahitaji kupata ushindi ili kuendelea kujiona yuko kwenye nafasi bora zaidi ya mwenzake,”  amesema.

​Taifa Stars itavaana na Uganda  Juni 5, kisha Rwanda Juni 9, 2026

spot_img

Latest articles

TAEC YAFANYA UKAGUZI WA MATUMIZI SALAMA YA MIONZI MKOANI LINDI

Na Mwandishi Wetu KAIMU Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi, Bwn. Natalis Linuma, amesema...

Msajili wa Hazina aitaka TANROADS kuongeza ufanisi

Na Mwandishi Wetu MSAJILI wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, leo, Septemba 18, 2026, ametoa...

TANESCO IMEJIPANGA KUKABILIANA NA ATHARI ZA EL NIÑO – MD TWANGE

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema limejipanga kukabiliana na...

MRADI WA UMEME SIMIYU KUFUNGUA FURSA ZA UWEKEZAJI NA KUCHOCHEA SHUGHULI ZA KIUCHUMI WANANCHI

📌 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mhe.Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba...

More like this