Singida BS yamuanika Patrick Aussems

Na Mwandishi Wetu

Klabu ya Singida Black Stars imemshauri aliyekuwa kocha wa timu hiyo Patrick Aussems kuanzisha timu kama anaguswa na Soka la Tanzania ili afanye yale anayoshari kwa vitendo.

Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari leo Februari 19,2025,imejibu kauli ambazo kocha huyo amekuwa akizitoa ikiwamo sababu za kufukuzwa kwake kwenye klabu hiyo.

Taarifa hiyo imesema kuwa Aussems aliondolewa kutokana na matokeo mabaya ya michezo mitatu ikiwamo pia kukosa sifa ya kuwa kocha mkuu kulingana na elimu yake.

spot_img

Latest articles

TANESCO KUFUNGA TRANSFOMA MPYA KUIMARISHA HALI YA UPATIKANAJI WA UMEME KIGAMBONI

📌 Lengo ni kuimarisha hali ya upatikanaji wa Umeme KigamboniNa mwandishi wetu, Dar es...

MKAKATI WA PAMOJA KUHAMASISHA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KUONGEZA IDADI YA WATUMIAJI- WAZIRI HOMERA

📌Aongoza Site Trust Nishati safi Marathon Namtumbo, Ruvuma 📌Aipongeza TANESCO kwa mpango wa ukopeshaji majiko,...

TANESCO KUIWEZESHA KAMPUNI YA HWTZ MEGAWATI 200 KUTEKELEZA MRADI WA UZALISHAJI UMEME

📌Waziri Homera afanya Ziara katika Kongani ya Viwanda Mkoani Ruvuma chini ya muwekezaji HWTZ...

TEKNOLOJIA YA NYUKLIA NI NYENZO YA MAENDELEO AFRIKA

Na Tatu Mohamed IMEELEZWA kuwa Sayansi na teknolojia ya nyuklia vinapaswa kutazamwa kama nyenzo za...

More like this