Kocha KMC akiri kipigo cha Yanga kiliwaumiza

Na Winfrida Mtoi

Kocha Msaidizi wa KMC, John Matambala amefunguka kuwa walipata maumivu makubwa ya kupoteza mchezo ulipita kwa kufungwa na Yanga mabao 6-1, huku akiahidi kijiponya maumivu kwa JKT Tanzania kesho.

Matambala ameyasema hayo leo Februari 17, 2025 wakati akizungumzia maandalizi yao dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaochezwa kwenye Uwanja KMC Complex, jijini Dar es Salaam.

Amesema wamejipanda kucheza kama fainali ili kuchukua pointi tatu, licha ya kufahamu ubora wa wapinzani wao.

Kwa upande wake Kacha Mkuu wa JKT Tanzania Ahmed Ally, amesema mchezo huo hautakuwa rahisi kwani kila mmoja anahitaji alama tatu kutokana na  nafasi walipo katika msimamo wa Ligi Kuu.

spot_img

Latest articles

ELAF yahimiza maridhiano na amani baada ya Uchaguzi Mkuu

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam TAASISI ya Everlasting Legal Aid Foundation (ELAF) imewataka Watanzania...

Taifa Stars ya Gamondi amrejesha Kelvin John

Na Mwandishi Wetu Kaimu Kocha Mkuu wa timu ya Taifa, Taifa Stars Miguel Gamondi amemrudisha...

‘Hali ya huduma ya maji Dar, Pwani ni shwari’

Na Mwandishi Wetu WAKAZI mbalimbali wa Jiji la Dar es Salaam na Mkoa wa...

Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Uchaguzi Mkuu wa 2025 ni halali

Na Mwandishi wetu MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Hamza Johari amesema kuwa, Uchaguzi Mkuu wa...

More like this