YANGA YA KIHISTORIA! yatwaa ubingwa wa tano mfululizo

Na Mwandishi Wetu

Wananchi Yanga wametwaa ubingwa wa tano mfululizo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuichapa JKT Tanzania mabao 3-0 katika mchezo wa lala salama uliopigwa leo Juni 30, 2026, kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo uliopo Mbweni, jijini Dar es Salaam.

Ushindi huo wa kishindo unaifanya Yanga kufikisha jumla ya pointi 75. Watani zao wa jadi, Simba, wamemaliza katika nafasi ya pili wakiwa na pointi 73 baada ya kuifunga KMC FC bao 1-0.

Wanajangwani hao wamekabidhiwa kombe la ubingwa mbele ya mashabiki wao walifurika uwanjani hapo, wageni mbalimbali wakisherehekea mafanikio hayo.

spot_img

Latest articles

MRADI WA UMEME MPOMVU – GGM KUIMARISHA UPATIKANAJI WA UMEME NA KUCHOCHEA SHUGHULI ZA KIUCHUMI GEITA – MHE. SALOME

📌 Kukamilika kwa njia mpya kutatoa fursa kwa njia ya awali kuendelea kunufaisha wananchi...

SERIKALI YAWEKA MKAKATI KUFUFUA SKIMU YA MATIPWILI

Na Mwandishi Wetu SERIKALI imesema iko tayari kufufua na kuboresha skimu ya Umwagiliaji Matipwili...

Tanzania, AngloGold Ashanti kuimarisha ushirikiano

Na Mwandishi Wetu MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu, amekutana na ujumbe wa kampuni ya...

TANESCO YABAINI MATUKIO YA WIZI WA UMEME KINONDONI KASKAZINI

📌 Operesheni ya ukaguzi wa mita yabaini matumizi yasiyo halali ya umeme eneo la...

More like this