Mexico yatwaa taji la Miss Universe 2025, Ivory Coast namba tano

Na Mwandishi Wetu

Mexico imeibuka mshindi wa taji la Miss Universe 2025 kupitia mrembo wake Fatima Bosch, mwenye umri wa miaka 24.

Fatima, anafahamika kwa uthubutu wake licha kuishi na hali ya Dyslexia na ADHD, ambapo amegeuza uzoefu wake kuwa nguvu ya kuhamasisha na kutetea watoto, wahamiaji na jamii zilizo katika mazingira hatarishi.

Mrembo huyo ambaye pia ni mbunifu wa mavazi na amekuwa akijitolea katika shughuli mbalimbali kwa muda mrefu.

Katika tano bora, Thailand imeshika nafasi ya pili, first, ikifuatiwa na Venezuela, Philippines ya nne, na Ivory Coast ikishika namba  tano.

Katika shindano hilo la 74 la Miss Universe Tanzania lilifanyika usiku wa leo Novemba 21, 2025, katika ukumbi wa Impact Challenger Hall mjini Pak Kret, Nonthaburi, Thailand, Tanzania iliwakilishwa na Naisae Yona.

spot_img

Latest articles

Tanesco yagusa mioyo ya watoto wenye mahitaji maalum

📌Ni sehemu ya uwajibikaji wake kwa jamii 📌Yatoa misaada mbalimbali kwa vituo vitatu Dar...

 ‘Umimi’ wa viongozi unaua Jumuiya Afrika Mashariki

KATIKATI ya miaka ya 90 wakati mfumo wa vyama vingi unaota mizizi, lilitokea wazo...

Wanafunzi watatu wafariki dunia baada ya kupigwa na radi Dar

Na Mwandishi wetu WANAFUNZI watatu wa Shule ya Msingi Msongola iliyopo eneo la Msongola,...

Serikali yawataka Wakurugenzi kuongeza thamani inayopimika katika uwekezaji wa hisa chache

Na Mwandishi wetu SERIKALI imewataka wakurugenzi wa bodi za kampuni ambazo ina umiliki wa...

More like this