SGR yapata ajali, TRC yataja chanzo

Na Mwandishi Wetu

Treni ya Mwendokasi (SGR) imeacha njia yake na kupata ajali katika eneo la Ruvu Mkoani Pwani asubuhi ya leo Oktoba 23,2025 wakati ikitokea jijini Dar es Salaam kuelekea Dodoma.

Kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Reli Tanzania, ajali hiyo imetokana na hitilafu za kiuendeshaji na hakuna kifo.

‘Timu ya wataalamu wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, uongozi wa TRC na vyombo vya ulinzi na usalama wamefika eneo la tukio kwa ajili ya uchunguzi  wa kina na juhudi za kuhakikisha kwamba huduma zetu zinarejea haraka,’ imesema taarifa hiyo.

spot_img

Latest articles

Oktoba 29 siku ya giza, ifungue milango ya haki

OKTOBA 29, 2025 itabakia kuwa siku ya giza na machungu katika historia ya Jamhuri...

Fountain Gate yatoa kocha bora

Na Mwandishi Wetu Kocha wa timu ya Fountain Gate,  Mohamed Laizer amechaguliwa kuwa kocha bora...

Nyota JKT Queens aipigia hesabu Asec Mimosa

Na Winfrida Mtoi Mshambuliaji wa JKT Queens FC, Jamila Rajabu, amesema  amejipanga  kutengeneza  nafasi na...

Zungu achaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Na Mwandishi Wetu MBUNGE mteule wa Jimbo la Ilala Mussa Azzan Zungu ameibuka mshindi...

More like this