Na Mwandishi Wetu
Klabu ya Azam imemrejesha golikipa wao wa zamani, Aishi Manula akitokea Simba na kumpa mkataba wa miaka mitatu.
Manula ambaye pia ni kipa wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars alianza kung’ara akiwa timu ya vijana ya Azam, alijiunga na Simba mwaka 2017, akiwa wa moto.