Kampuni za kubeti zachangia bilioni 17 pato la Taifa

Na Mwandishi Wetu

Waziri wa Fedha Dk. Mwigulu Nchemba amesema hadi kufikia Aprili, 2025 , Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania imekusanya jumla ya Sh 17.42 bilioni  sawa na asilimia 70 ya lengo la mwaka .

Akiwasilisha hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Fedha kwa mwaka wa Fedha 2025/2026 Bungeni Jijini Dodoma leo June 04,2025.

Amesema mwaka2024/25, Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania ilipanga kukusanya mapato yatokanayo na michezo ya kubahatisha ya jumla ya Sh 24.89 bilioni .

“Kwa mwaka 2025/26, Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania imepanga: Kutoa leseni 14,124 ikijumuisha leseni mpya 845 na kuhuisha leseni 13,279; kufanya kaguzi 12 kwa kuzingatia vihatarishi; kutekeleza operesheni  za kudhibiti michezo haramu; kukusanya mapato ya jumla ya shilingi bilioni 29.89,” amesema Waziri Nchemba.

spot_img

Latest articles

Matendo ya Polisi ni hujuma dhidi ya utawala bora, demokrasia

MFUMO wa uchumi wa soko huru una kanuni zake. Miongoni mwake ni kuruhusu ushindani....

Dkt. Mataragio: Serikali haitasita kuwachukulia hatua kali wanaoficha mafuta

Na Tatu Mohamed SERIKALI imetoa onyo kali kwa wafanyabiashara wanaojihusisha na vitendo vya kuficha...

Lukuvi afariki dunia

Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye...

Mgodi wa kihistoria wa niobium kujengwa Mbeya

Na Mwandishi Mbeya TANZANIA imepiga hatua muhimu katika kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na Marekani baada...

More like this