Waogeleaji wa Lake Victoria Sports Club waahidi kuing’arisha Tanzania Kimataifa

Na Mwandishi Wetu

Jumla ya waogeleaji sita  chipukizi wa Lake Victoria Sports Club  ya jijini Mwanza  wanatarajiwa kuipeperusha bendera ya Tanzania  katika mashindano ya kuogelea ya  Kimataifa  yatakayofanyika kesho Aprili 18 hadi 20, 2025  Dubai.

Waogelaji hao wameahidi kufanya vizuri katika mashindano hayo ili kuitangaza Tanzania Kimataifa.

Timu hiyo iliondoka nchini jana Aprili 16, 2025 ambapo tayari inaendelea na mazoezi ya kujiandaa na mashindano nchini humo.

Waogeleaji hao walioondoka ni Ethan Makalla, Nusrat Hassan, Nasri Hassan ,. Ibrahim Igoro, Tahir Isak ,. Zeeshan Isak, Naseeb Hassan.

spot_img

Latest articles

Viongozi wa dini wahimiza Watanzania kupiga kura, amani

Na Mwandishi Wetu, Mwanza VIONGOZI wa dini mbalimbali mkoani Mwanza, wametoa wito kwa Watanzania kujitokeza...

Chalamila amkabidhi mjane Alice Haule Hati ya Nyumba

Na Tatu Mohamed MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amemkabidhi hati ya...

Rasmi Kocha Yanga afungashiwa virago usiku

Na Mwandishi Wetu Uongozi wa Klabu ya Yanga umevunja mkataba na Kocha Mkuu, Romain Folz. ...

More like this