Mtemvu ajitokeza kujiandikisha, kuboresha taarifa zake daftari la kudumu la wapiga kura

Na Mwandishi Wetu

MBUNGE wa Jimbo la Kibamba, Wilayani Ubungo, Dar es Salaam, Issa Jumanne Mtemvu amejitokeza Katika Kituo cha Kibwegere Shule, Mtaa wa Kibwegere Kata ya Kibamba kwa ajili ya kujiandikisha na kuboresha taarifa zake katika Daftari la kudumu la wapiga kura ili aweze kupata fursa ya kuchagua viongozi kwenye uchaguzi

Hili linakwenda sambamba na kuandikisha wapigakura wapya lakini linalenga kuboresha pia taarifa za wapiga kura wa zamani wakiwemo wale waliopoteza kadi zao.

Kwa mujibu wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema uandikishwaji huo utafanyika kwa siku saba umeanza jana Machi 17 na utakamilika Machi 23, 2025.

Amesema uandikishwaji huo unawahusu waliotimiza miaka 18, pia wale waliopoteza kadi zao ama kuharibika watapatiwa nyingine.

spot_img

Latest articles

RAIS SAMIA KUZINDUA RASMI MRADI WA JNHPP AGOSTI 22, 2026

📌Waziri Ndejembi asema ni tukio la kihistoria litakaloshuhudiwa na watanzania pamoja na wageni 📌Asema...

JAJI MSHIBE ASISITIZA MAANDALIZI YA KISEKTA KATIKA KUKABILIANA NA ATHARI ZA EL NIÑO

Na Mwandishi Wetu MWENYEKITI wa Bodi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA),...

Msajili wa Hazina, Fitch Ratings watathmini mageuzi ya taasisi za umma

Na Mwandishi wa OTR OFISI ya Msajili wa Hazina (OTR) Jumanne, Agosti 11, 2026, ilifanya...

More like this