Yanga yaanza na pointi tatu Ligi Kuu

Na Mwandishi Wetu

Timu ya Yanga imeanza na ushindi katika Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuifunga Kagera Sugar mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Kaitaba, Bukoba.

Mabao yamefungwa na Max Nzengeli na Clemem Mzize.

Mchezo mwingine wa ligi hiyo, KMC imelazimishwa sare 1-1 na Coatal Union kwenye Uwanja wa KMC, Dar es Salaam.

spot_img

Latest articles

CRDB yajipanga kuwezesha wabunifu Kibiashara

Na Mwandishi Wetu  BENKI ya CRDB imesema ipo tayari kuunga mkono tasnia ya ubunifu nchini...

MAB yateta na wadhibiti Mutukula OSBP

Na Mwandishi Wetu MWENYEKITI Bodi ya Ushauri ya Wizara kwa TMDA (MAB), Eric Shitindi...

Rais Samia: Hakuna mtoto atafika darasa la tatu bila kujua kusoma, kuandika na kuhesabu

Na Tatu Mohamed RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan,...

More like this