Tatu Mohamed na Winfrida Mtoi
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametangaza Baraza jipya la Mawaziri leo Novemba 17, 2025, ambapo amefanya mabadiliko makubwa ikiwemo kuwaondoa mawaziri nane waliokuwa kwenye baraza lililopita.
Walioachwa katika mabadiliko hayo ni pamoja na aliyekuwa Naibu Waziri...