Rostam Aziz ainunua Nation Media ya Kenya

Na Mwandishi Wetu

KAMPUNI ya Taarifa Limited inayomilikiwa na mfanyabiashara Rostam Aziz imeingia makubaliano ya kununu hisa za Taasisi ya Aga Khan inazomiliki katika kampuni ya Nation Media Group nchini Kenya.

Taarifa iliyotolewa na Taasisi ya Agakhan leo Machi 10, 2026 kutoka Neneva, Uswisi, imesema kuwa kampuni ya Taarifa Limited, imenunua hiza zote  asilimia  54.08 inazomiliki katika kampuni ya Nation.

Mchakato wa kukamilisha mauziano hayo umepangwa kuchukua kati ya miezi mitatu au minne, kutoka Mamlaka za Udhibiti za Kenya.

Hatua ya Rostam Aziz kununua hisa hizo unamrejesha tena mfanyabiashara huyo kuwa miongoni mwa wamiliki wakubwa  vyombo vya habari  Afrika Mashariki.

Kwa hapa nchini vyombo vya  habari vilivyopo ni Mwananchi Communication inayochapisha magazeti ya Mwananchi, Mwanasporti na The Citizen.

spot_img

Latest articles

Mkurugenzi wa Rasilimali Watu Tanesco awahakikishia ushirikiano maafisa huduma kwa wateja

📌 Afunga Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa hao 📌 Awapongeza kwa utendaji bora wenye...

Makonda  awajibu wanaoponda ziara ya Rio

Na Winfrida Mtoi WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema ziara ya...

TIRDO yasajili Viwanda 25,650, Yaongeza Maabara za Kisasa Kuimarisha Sekta ya Viwanda

Na Mwandishi Wetu WIZARA ya Viwanda na Biashara kupitia Shirika la Utafiti na Maendeleo ya...

MD Twange aeleza kutoridhishwa na kasi ya Mkandarasi wa mradi wa Hale

📍Ni ule wa kuboresha kituo cha kufua umeme 📍Amuagiza kuongeza kasi ya utekelezaji wa...

More like this