Ivo Mapunda aomba sapoti kwa watanzania CECAAF

Na Mwandishi Wetu

Kocha wa timu ya Taifa ya soka kwa watu wenye Ulemavu Tanzania ‘Tembo Warriors’, ameomba sapoti kutoka kwa Watanzania kuhakikisha wanafanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano ya Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAAF), inayofanyika nchini Burundi.

Tembo Warriors ambayo tayari imewasili nchini humo, inatarajia kurusha karata yake ya kwanza kesho September 9, 2025 dhidi ya Kenya.

Mapunda amesema wamejiandaa kufanya vizuri katika mashindano hayo, huku akiwataka watanzania waliopo nchini Burundi kujitokeza uwanjani kusapoti timu hiyo katika  kupambania ubingwa wa mashindano hayo.

“Kwa Asilimia 95% tuko tayari kwa ajili ya mchezo kikubwa tunaomba sapoti ya watanzania waliopo nchini Burundi kuja uwanjani na watanzania waliopo Tanzania kwa dua ili turudi na ubingwa, “amesema Mapunda.

spot_img

Latest articles

Serikali kuendelea kuwawezesha vijana kijamii, kiuchumi

Na Tatu Mohamed WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, Joel...

Kids Holiday Festival yawavuta mamia ya watoto, CRDB yatumia jukwaa kujenga uelewa wa fedha

Na Mwandishi Wetu BURUDANI na michezo mbalimbali vilitawala Tamasha la Kids Holiday Festival lililowakusanya...

Mambo: Demokrasia haijengwi kwa mashinikizo, vitisho

Na Mwandishi Wetu ALIYEKUWA Mgombea wa Bavicha Taifa, Masoud Mambo amesema kuwa demokrasia ya...

Serikali yaahidi kuimarisha uwezeshaji wa Makundi Maalum kupitia ajenda ya Maendeleo Jumuishi

Na Tatu Mohamed WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt....

More like this