Israel Salufu wa CCM achukua fomu ya kuwania Jimbo la Kilolo

Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Ndugu Israel Johaness Salufu amechukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Jimbo la Kilolo mkoani Iringa.

Salufu amechukua fomu hiyo leo tarehe 28 Juni 2025 katika Ofisi za CCM wilaya ya Kilolo.

spot_img

Latest articles

RAIS SAMIA KUZINDUA RASMI MRADI WA JNHPP AGOSTI 22, 2026

📌Waziri Ndejembi asema ni tukio la kihistoria litakaloshuhudiwa na watanzania pamoja na wageni 📌Asema...

JAJI MSHIBE ASISITIZA MAANDALIZI YA KISEKTA KATIKA KUKABILIANA NA ATHARI ZA EL NIÑO

Na Mwandishi Wetu MWENYEKITI wa Bodi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA),...

More like this

RAIS SAMIA KUZINDUA RASMI MRADI WA JNHPP AGOSTI 22, 2026

📌Waziri Ndejembi asema ni tukio la kihistoria litakaloshuhudiwa na watanzania pamoja na wageni 📌Asema...