ALLY KAMWE  AKAMATWA NA POLISI AACHIWA  KWA DHAMANA

Na Mwandishi Wetu

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, SACP Richard Abwao amesema Jeshi la Polisi Mkoani humo limemuachia Afisa Habari wa Klabu ya Yanga Ally Kamwe kwa dhamana baada ya kukamatwa kwa  saa kadhaa usiku wa kuamkia leo kwa madai ya kutoa kauli chafu kwa viongozi wa Serikali.

Kwa mujibu wa kamanda huyo, licha ya kuachiwa  taratibu nyingine za kiuchunguzi kuhusu tuhuma zinazomkabili zinaendelea na Kamwe atatakiwa  kuripoti Aprili 21,2025.

Kamwe alishikiliwa  na Polisi ikiwa ni siku mbili zimepite tangu adaiwe kurusha  dongo kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha katika hamasa kuelekea mchezo wao dhidi ya Tabora United uliopigwa jana.

spot_img

Latest articles

Waziri wa Nishati Ndejembi azindua rasmi mita janja

Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Nishati, Deogratius Ndejembi amezindua rasmi mita janja (smart meter)...

RC Kunenge: Mto Ruvu ubaki kwa matumizi ya binadamu tu, tusitishe shughuli nyingine kwa muda

Na Mwandishi Wetu MKUU wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, ametoa wito kwa wakulima...

Tume ya Jaji Chande na mlima wenye utelezi

KAMA kuna tume ya uchunguzi iliyopata kuundwa nchini kwa jambo mahususi, ikajikuta katika uwanja...

Rais Samia: Walilenga kupindua dola

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa vurugu...

More like this