MAKAMU MWENYEKITI UVCCM REHEMA SOMBI (MNEC) AZINDUA WIKI YA UVCCM 2026 KALAMBO, ASISITIZA FURSA SAWA KWA VIJANA

Na Mwandishi Wetu

MAKAMU Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Rehema Sombi Omary (MNEC), amezindua rasmi Wiki ya UVCCM 2026 katika Wilaya ya Kalambo, Rukwa, akisisitiza vijana kukutana, kusikilizana, kubaini fursa na kuzigeuza changamoto kuwa fursa za maendeleo.

Ametembelea miradi ya vijana wanaonufaika na mikopo ya asilimia 10 ya Halmashauri na kuzungumza na vijana pamoja na wananchi wa Kalambo.

Pia ametoa salamu za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisisitiza dhamira yake ya kuhakikisha vijana wanapata fursa sawa za maendeleo.

Amesema kaulimbiu ya Wiki ya UVCCM 2026, “Mazingira tofauti, fursa sawa kwa vijana,” inawahimiza vijana kutumia fursa zilizopo katika maeneo yao, huku akiwataka kuenzi tunu za Taifa, kuongeza wanachama wapya na kutekeleza wajibu wa kulipa ada za uanachama.

Wiki ya UVCCM 2026 inaanza leo, tarehe 8 Oktoba, na itaendelea hadi Oktoba 14, 2026.

spot_img

Latest articles

TANESCO YANG’ARA TUZO ZA UMAHIRI WA MAWASILIANO KWA UMMA

📌 Yanyakua tuzo nne katika vipengele mbalimbali 📌 Yatambuliwa kwa ubora katika mawasiliano ya kimkakati,...

BRELA YAFUNGUA FURSA YA URASIMISHAJI KWA WADAU WA UCHUMI WA UBUNIFU ARUSHA

Na Mwandishi Wetu WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imeweka kambi ya...

MAKAMU MWENYEKITI UVCCM SOMBI ATEMBELEA KIKUNDI CHA UKOMBOZI WA VIJANA KALAMBO

Na Mwandishi Wetu IKIWA ni sehemu ya shughuli za Wiki ya UVCCM 2026, Makamu...

RIBA YA BENKI KUU YAENDELEA KUBAKIA ASILIMIA 6.25

Na Tatu Mohamed BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imeendelea kubakiza Riba ya Benki Kuu (CBR)...

More like this